Watanzania watakiwa kuwa wabunifu katika uwekezaji

Mkuu wa wilaya ya Mbeya Nyerembe Munasa Sabi akiongea na wadau mbalimbali wa Maendeleo

Watanzania wamehimizwa kutumia fursa zilizipo kwa kuwa wabunifu na kufanya tafiti zitakazowasaidia kuwa wawekezaji ili kuongeza ajira na kujiongezea kipato.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS