Azam Fc, Prisons leo, Yanga yasawazishwa Shinyanga

Mzunguko wa Tisa wa Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara unamalizika leo kwa michezo miwili ambapo JKT Ruvu watakua wenyeji wa Azam FC uwanja wa Karume jijini Dar es salaam na Tanzania Prisons wakiwakaribisha African Sports katika uwanja wa Sokoine Mbeya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS