Mgombea aliyetekwa kuhamia Muhimbili
Mgombea ubunge wa jimbo la Mtwara mjini kupitia (CHADEMA), Joel Nanauka, aliyedaiwa kutekwa na kuteswa na watu wasiojulikana, amelazimika kupatiwa rufaa na kupelekwa hospitali ya taifa ya Muhimbili kwa ajili ya kupata matibabu zaidi.