TANESCO kuzima mitambo mingine ya umeme
Shirika la umeme nchini hivi karibuni kinatarajia kuzima kituo kingine cha kuzalisha umeme cha kidatu kinachotegemea maji kutoka bwawa la mtera hivi karibuni kutokana na kuishiwa maji kwa ajili ya kuendesha mitambo hiyo