Waandishi watakiwa kufuata maadili kuepusha vurugu
Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa amewataka waandishi wa habari nchini kuzingatia maadili yao ya kazi bila kujali changamoto zinazowakabili katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu oktoba 25 ili kuepusha machafuko.