Bodi ya ligi kuipa kipaumbele Stars

Shirikisho la soka Tanzania TFF limesema litaendelea kuipa kipaumbele timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars katika kufanya maandalizi yake licha ya kuvurugika kwa ratiba ya ligi kuu nchini inayoendelea hivi sasa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS