Izzo Business aibuka kuitetea "Shem Lake" Izzo Business Siku kadhaa baada ya kuibariki mitaa na rekodi mpya ya Shem Lake, Rapa Izzo Business ametoa tathmini yake kuhusiana na mapokezi ya mdundo huo ambao umezua maoni na mapokezi tofauti. Read more about Izzo Business aibuka kuitetea "Shem Lake"