NEC yatangaza uchaguzi Arusha Mjini,Handeni Mjini
Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania (NEC) imetanga uchaguzi wa majimbo ya Arusha mjini na Handeni Mjini mkoani Tanga utafanyika tarehe 13 Desemba, baada ya kuahirishwa kufuatia kufariki kwa wagombea ubunge katika majimbo hayo.
