LHRC waitaka NEC kubandika majina mapema Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu LHRC Dr. Hellen Kijo-bisimba Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini NEC imetakiwa kubandika haraka majina ya wapiga kura vituoni ili wapiga kura wahakiki majina yao mapema kabla ya siku ya uchaguzi. Read more about LHRC waitaka NEC kubandika majina mapema