Dkt. Titus Kamani akitembelea mabanda ya maonesho ya kimataifa ya kilimo yanayofanyika katika Jiji la Paris nchini Ufaransa,
Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi imesema imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha inaongeza mauzo ya nyama nje ya nchi kwa asilimia kubwa kuliko miaka iliyopita.