Waangalizi uchaguzi wasema hawataingilia mchakato
Kiongozi wa Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi toka nchi za Jumuiya ya Africa Mashariki, Moody Awori amesema kuwa hawataingilia Uchaguzi Mkuu bali wataangalia tu taratibu na sheria za uchaguzi kama zitafuatwa.