Wasanii wawekeze katika sekta nyingine - Bundala
Mwanahabari wa habari za burudani na mtayarishaji wa muziki Fredrick Bundala, amewashauri wasanii ambao wamefanikiwa kupitia muziki kuwekeza katika sekta nyingine, ili kuweza kulinda heshima yao hapo baadae.