Serikali yaombwa kuongeza usimamizi kwenye madini
Licha ya sekta ya madini kuchangia asilimia 3.5 kwenye pato la Taifa wakazi wa Arusha wamesema kuwa mchango huo bado hauridhishi ukilinganisha na uzalishaji wa madini katika sekta hiyo nyeti hivyo wameitaka serikali iongeze usimamizi.