Serikali yasema Kipindupindu chazidi kuwa tishio Serikali ya Tanzania imetoa taarifa kwa shirika la afya duniani (WHO) kuhusu kuongezeka kwa ugonjwa kipindupindu nchini huku aina mpya ya kirusi kungundulika jijini Dar-es-Salaam tarehe 25 Agosti. Read more about Serikali yasema Kipindupindu chazidi kuwa tishio