Malalamiko yanafanyiwa kazi na mamlaka husika-TFF Shirikisho la soka nchini TFF limesema malalamiko yanayotolewa na vilabu mbalimbali shiriki vya ligi kuu ya soka Tanzania Bara yanafanyiwa kazi kwa taratibu maalumu na mamlaka husika. Read more about Malalamiko yanafanyiwa kazi na mamlaka husika-TFF