Mtu kukiri anatumia madawa ni hatua nzuri - Shaa
Msanii Sarah Kaisi maarufu kama Shaa ambaye kwa sasa anafanya vizuri kwa wimbo wake wa Toba, amesema hatua iliyofikia kwa watu kutambua madhara ya matumizi ya madawa ya kulevya, ni hatua nzuri kwa jamii.