Rais Magufuli aombwa kuleta maendeleo kwa wote
Wakazi wa mikoa tofauti nchini Tanzania wamempongeza Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na kumuomba awatumikie watanzania wote bila kujali itikadi zao za vyama vya kisiasa au dini.