Belle 9: Hivi ndivyo 'Shauri Zao' ilivyonibadili

Belle 9

Nyota wa muziki Belle 9, baada ya kupiga hatua kubwa kimuziki ikiwepo video ya Shauri Zao kupata 'Air Play' katika vituo vya kimataifa, amesema muonekano na hadhi yake imebadilika kabisa kwenda hatua inayofuata kama msanii wa kimataifa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS