Man Water aanza kung'ara majuu
Mtayarishaji muziki Man Water mwenye rekodi ya kushinda tuzo za mtayarishaji muziki bora mara kadhaa hapo nyumbani ameanza kutoboa mawimbi katika anga za kimataifa ambapo amefanikiwa kupata uteuzi katika tuzo maarufu za kimataifa.