Taasisi ya Mwalimu Nyerere yaionya ZEC Taasisi ya mwalimu Nyerere imeitaka tume ya uchaguzi ya Zanzibar ZEC kufanya kazi kwa kuzingatia katiba ya nchi na sheria na sio kutanguliza mbele maslahi binafsi ya kisiasa. Read more about Taasisi ya Mwalimu Nyerere yaionya ZEC