Waziri Mkuu ataka Soko Kariakoo kuwasafi muda wote
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema zoezi la usafi lililofanyika leo nchini kote lisiishie hapo bali liwe endelevu ili Tanzania iwe na taswira nzuri kwa wageni wanaoingia nchini.