Bon'eye amtetea Dj aliyeharibu Nyota wa muziki Bon'eye kutoka kundi la P Unit Nyota wa muziki Bon'eye kutoka kundi la P-Unit ametoa maoni yake kuhusiana na tukio la video chafu ya DJ maarufu kutoka Kenya 'Dj Creme De La Creme' kuvuja mtandaoni na kukamata vichwa vya habari kwa sasa. Read more about Bon'eye amtetea Dj aliyeharibu