Umoja wa Mataifa waionya Israel Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameitaka Israel iachane na mpango wa kulidhibiti Jiji la Gaza. meyasema hayo wakati eneo hilo likikabiliwa na hofu ya janga la kiutu. Read more about Umoja wa Mataifa waionya Israel