Mawaziri CUF(SUK), Zanzibar waachia ngazi
Kufuatia kufutwa kwa Uchaguzi Mkuu Zanzibar, mawaziri saba pamoja na manaibu wao wanaounda Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) kutoka chama cha Wananchi(CUF), wamejiuzulu kutokana na kile walichodai kuwa ni kuheshimu Katiba.