Wakazi hifadhi ya msitu wa NILO waanza kunufaika
Wakazi wa vijiji 17 vinavyovyozunguka hifadhi ya msitu wa asili (NILO) wameanza kunufaika kwa kupewa miradi mbalimbali ya kilimo cha biashara, ufugaji nyuki na mifugo ili waweze kuhifadhi misitu na kuachana na hujuma za uvunaji kinyume cha sheria