Marekebisho yatatupa matokeo mazuri - Kapombe
Beki wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Shomari Kapombe amesema, makosa yaliyojitokeza katika mchezo wa awali dhidi ya Algeria yanaweza kurekebishika ndani ya siku moja ili kuweza kufanya vizuri hapo kesho katika mchezo wa marudiano.