Stars kuwasili Jumatano, Algeria kuwasili Ijumaa

Kikosi cha Stars kikiendelea na mazoezi kwa ajili ya kuvaana na Algeria Novemba 14

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kinatarajia kuwasili nchini Jumatano ya wiki hii kikitokea nchini Afrika Kusini kilipoweka kambi kujiandaa na mchezo wa dhidi ya Algeria.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS