Njombe mwenyeji usafi wa mazingira kitaifa
Mkoa wa Njombe wanatarajia kuwa wenyeji wa maadhimisho wiki ya usafi wa mazingira na uchimbaji choo ambapo kitaifa yatafanyika mkoani humo na kufanyika kwa maonesho mbalimbali ya usafi wa mazingira na uboreshaji wa vyoo.