Avril alikuwa anamchunguza mwenza
Star wa muziki Avril wa Kenya, ameweka wazi kuwa taratibu za kuchunguza uhalali wa familia ya mchumba wake ambaye ni raia wa Afrika Kusini, ndio sababu inayochelewesha harusi yao mpaka sasa tangu mwezi wa 11 mwaka jana alipovishwa pete ya uchumba.