Timu ya taifa inawachosha wachezaji - Yanga SC
Uongozi wa klabu ya Yanga umelitaka chirikisho la soka nchini TFF kuangalia na kuweza kupanga vizuri ratiba kwa ajili ya ushiriki wa timu ya taifa katika mashindano mbalimbali ili kutoa nafasi wachezaji wengine wa vilabu kuendelea na mazoezi.