Magufuli atoa mwelekeo wa serikali ya awamu ya 5 Rais John Magufuli leo amelihutubia bunge kwa mara ya kwanza na kulizindua rasmi licha ya wabunge wa vyama vya UKAWA kutolewa bungeni kwa agizo la Spika baada ya kufanya fujo bungeni. Read more about Magufuli atoa mwelekeo wa serikali ya awamu ya 5