WHO, Serikali na Wadau kukikabili kipindupindu

Mkurugenzi Msaidizi wa kitengo cha udhibiti wa magonjwa ya mlipuko kwenye wizara ya afya nchini Tanzania, Dkt. Janeth Mghamba akiongea na Waandishi wa Habari

Shirika la afya ulimwenguni WHO , serikali ya Tanzania na wadau wengine wa afya wanahaha kutokomeza ugonjwa wa kipindupindu ulionea katika mikoa 17 nchini humo na kuathiri zaidi ya watu 8,000 huku zaidi ya 100 wakifariki dunia kutokana na mlipuko huo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS