Muziki umejaa urasimu na undugu - Nikki Mbishi Msanii Niki Mbishi amelalamikia mfumo wa muziki uliopo hapa nchini na kusema kuwa umejaa urasimu na undugu, kitendo kinachopelekea kuua muziki wa Bongo Flava. Read more about Muziki umejaa urasimu na undugu - Nikki Mbishi