KAZI kuanza kwenda hewani wiki ijayo EATV Kipindi kipya cha Televisheni kinachoitwa KAZI kinatarajia kuanza kwenda kila siku ya Jumatano, kupitia kituo cha East Africa Television (EATV). Read more about KAZI kuanza kwenda hewani wiki ijayo EATV