Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania aliemaliza muda wake Bi. Anne Makinda
Spika Anayemaliza muda wake Anne Makinda amewataka wabunge wajiunge katika mifuko ya hifadhi ya jamii ili kuepukana na shida wanazopata mara baada ya kustaafu au kukosa kutetea nafasi za Ubunge.