Uchaguzi wa wabunge Lushoto na Ulanga Jumapili

Wananchi wakiwa katika Foleni ya kuingia kupiga kura katika uchaguzi uliofanyika Oktoba 25,mwaka huu

Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania NEC imetangaza kuanza kwa uchaguzi katika majimbo mawili na kata sita ambazo uchaguzi wake uliahirishwa kutokana na vifo vya wagombea.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS