Ukatili na mauaji dhidi ya Albino vikomeshwe
Washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa watu wenye ulemavu wa ngozi wamezitaka nchi za Afrika kuhakikisha zinakomesha mara moja, ukatili na mauaji dhidi ya watu wenye albinism sambamba na kutoa huduma za kliniki