Filamu ya Leakey kuigiziwa nchini Kenya. Filamu inayohusu maisha ya mtafiti wa masuala ya kale Dr. Richard Leakey ambayo inatarajiwa kuongozwa na muigizaji Anjelina Jolie, itaigizwa nchini Kenya jijini Nairobi. Read more about Filamu ya Leakey kuigiziwa nchini Kenya.