Posi: Albino washirikishwe katika kutunga sheria
Mhadhiri wa sheria wa chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) Dkt. Abdallah Posi ameshauri kuwepo kwa ushirikishwaji wa watu wenye albinism katika masuala ya ubadilishaji au utungwaji sheria ambazo zitawasaidia kuwalinda.