Robo fainali wavu ufukweni mkoa kupigwa kesho

Robo fainali ya michuano ya wavu ufukweni Mkoa wa Dar es salaam inatarajiwa kuendelea hapo kesho kwa timu za wanawake kupigwa michezo minne kwenye viwanja vya JK Park Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS