Fainali wavu ufukweni mkoa kupigwa leo
Timu ya mpira wa wavu ya ufukweni ya Jeshi Stars na IP Sports kwa upande wa wanaume na Tanzania Prisons na Makongo B kwa upande wa wanawake zinatarajia kukutana leo katika mchezo wa fainali utakaopigwa katika uwanja wa JK Park jijini Dar es salaam.