Yanga,African Sports kesho,Azam kuifuata Majimaji
Michuano ya Ligi kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea hapo kesho kwa kupigwa mchezo mmoja ambapo mabingwa watetezi Yanga watakutana na African Sports ya jijini Tanga katika mchezo utakaopigwa Uanja wa Mkwakwani jijini humo.