Beyonce kuigiza filamu ya Sara 'Saartjie’ Baartman
Msanii Beyonce Knowles amepata dili la kuandika na kuigiza filamu ya maisha ya mwanamke wa Afrika Kusini Sara 'Saartjie’ Baartman, ambaye alifanywa maonyesho nchini Uingereza na Ufaransa wakati wa ukoloni kutokana na kuwa na makalio makubwa.

