Maji yaua watu 8 Dodoma, 6 wa familia moja

Watu wanane wamefariki dunia Mkoani Dodoma wakiwemo watu sita wa familia moja baada ya gari walilokuwa wakisafiria kusombwa na maji katika eneo la Bwawani mji mdogo wa Kibaigwa Wilaya ya Kongwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS