Naenda nje kutanua wigo-Chege

Msanii wa muziki wa Bongofleva Chege Chigunda

Msanii wa muziki wa Bongofleva Chege Chigunda amefunguka na kusema kuwa yeye huenda kufanya kazi zake Afrika Kusini kwa ajili ya kuongeza zaidi wigo mpana wa mashabiki barani Afrika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS