NJOMBE MJI WAAPA KUWAPIGISHA KWATA RUVU SHOOTING
Uongozi wa klabu ya soka ya Mji Njombe umesema utahakikisha unapata ushindi dhidi ya vinara wa kundi lao B katika ligi daraja la kwanza Ruvu Shooting katika mechi ijayo watakayokutana katika uwanja wa Mabatini mkoani Pwani wikiend hii.
