Mvua yasababisha hasara ya mil 250 wilayani Rungwe

Mkuu wa mkoa wa Mbeya ambae pia ni mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa, Abasi Kandoro ametembelea waathiria wa mvua

Mvua iliyoambatana na upepo mkali imeleta maafa katika kata ya Ikuti wilayani Rungwe mkoani Mbeya baada ya kuezua nyumba 23 na kuangusha migomba yenye tahamani ya zaidi ya shilingi milioni 250.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS