Viongozi wa mkoa chanzo kushuka kwa Riadha -Zavara Shirikisho la Riadha Tanzania RT limesema, viongozi wa mikoa wanachangia kushusha mchezo huo hapa nchini kutokana na udanganyifu katika mashindano mbalimbali hapa nchini. Read more about Viongozi wa mkoa chanzo kushuka kwa Riadha -Zavara