Yanga, Azam na Simba kufukuzana tena wikiendi hii
Mshikemshike wa ligi kuu ya soka Tanzania bara unatarajiwa kuendelea kushika kasi yake hapo kesho kwa viwanja nane vikiwa kwenye wakati mgumu wikiendi hii ikishuhudiwa timu 16 zikishuka dimbani kusaka alama tatu muhimu.