Kiir ameteua Machar kuwa makamu wake wa Rais Salva Kiir Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amemteua tena mpinzani wake aliyekuwa muasi Riek Machar kuwa Makamu wa Rais wa taifa hilo changa la Afrika kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na televisheni ya taifa hilo. Read more about Kiir ameteua Machar kuwa makamu wake wa Rais